RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia na
kulifungua Kongamano la Jumuiya Tatu za CCM za UWT,UVCCM na Wazazi
lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh nIdrisa Abdulwakil Kikwajuni
Jijini Zanzibar leo 6-1-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
kuhudhuria Kongamano la Jumuiya za CCM, UWT,UVCCM na Wazazi, ikiwa ni
shamrashamra za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Jumuiya za CCM za UWT,UVCCM na Wazazi.(kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa
meza Kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wakiimba wimbo wa Ukombozi na (kulia
kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi,
Katibu Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM (SUKI) Mwalim Kombo
Hassan Juma na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na
(kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM ambae pia ni Waziri wa
Vijana Habari Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Mwita Maulid,Makamu
Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaybah Editon Kisasi na Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Maryam Mwinyi.(Picha na Ikulu)
MSOMA
Utenzi Farida Rajab akisoma utenzi Maalum wa Ufunguzi wa Kongamano la
Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi UVCCM, UWT na Wazazi, lililofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
NAIBU Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Kongamano la Jumuiya za
CCM za UWT,UVCCM na Wazazi, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI
wa Kongamano la Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi UWT,UVCCM na Wazazi,
wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akilifungua Kongamano hilo
lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment