RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bi Fatma
Karume alipofika nyumbani kwake Maisara Jijini Zanzibar kumtembelea na
kumjulia hali yake, akiwa nyumbani kwake Maisara leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi.Fatma Karume, wakati alipofika nyumbabni kwake maisara kwa mazungumzo na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akizungumza na aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Zanzibar Mzee
Abdalla Rashid Abdaala, alipofika nyumbani kwake Kiembesamaki kumjulia
hali yake na kuzungumza naye.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment