Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini
Magharibi Dkt. Abednego Keshomshahara, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo
la Bukoba Desiderius Rwoma, Shehe wa Bukoba Mubarak Juma pamoja na Padre
Revocatus Mwehuzi muda mfupi mara baada ya kupata chakula cha Mchana
katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar pamoja na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke muda mfupi mara baada ya kupata chakula cha mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa amewashika mikono Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar
pamoja na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke muda mfupi baada ya kupata
chakula cha Mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo
tarehe 18 Januari 2021.
No comments :
Post a Comment