Saturday, January 30, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AONGEA NA MAELFU YA WANANCHI WA TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu baada ya kuzindua mradi wa
Maji ya Ziwa vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega mjini
Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwapongeza wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora waliomkuna
kwa nyimbo nzuri wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake wa hadhara
katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo
Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi  Anthony Sanga akitoa
maelezo ya kina juu ya  mradi wa Maji ya Ziwa vicktoria kwa miji ya
Tabora, Igunga na Nzega aliouzindua mjini Tabora leo Jumamosi Januari
30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,
Wazir wa Maji Mhe. Juma Awesu na Balozi Mdogo wa India Nchini Mhe. R.
Chandramouli  (kati) wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi
 Anthony Sanga akitoa maelezo ya kina juu ya  mradi wa Maji ya Ziwa
vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega aliouzindua mjini Tabora
leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
na Balozi mdogo wa India nchini Mhe. R. Chandramouli wakifurahia wimbo
wa wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora wakati  wakitumbuiza
katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa
Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Mhandisi Anthony Sanga   akiukagua baada ya kuzindua mradi wa Maji ya
Ziwa vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega mjini Tabora leo
Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
na jukwaa kuu wakifurahia wimbo wa wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi
la Tabora  wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake wa hadhara na
wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt John Pombe Magufuli
akitoka kuwapongeza wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora
waliomkuna kwa nyimbo nzuri wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake
wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi
mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwasili  katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa
michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30,
2021.

PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment