Monday, January 11, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA MSUMBIJI MHE. NYUSI GEITA, AWEKA NAE JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA CHATO LEO

Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya
siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakifurahia ngoma za utamaduni katika Uwanja wa Ndege wa Geita mara alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kuweka jiwe la Msingi kwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita mara tu baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo
Jumatatu Januari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi  wakifunua pazia kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu
Januari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi  kwa kuweka  Jiwe la Msingi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita
alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi  wakisikiliza maelezo toka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akimwagilia maji mti alioupanda baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alikowasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alikowasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alikowasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita baada ya kuwasili nchini  kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha ya kuchora ya THE BIG FIVE mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita baada ya kuwasili nchini  kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 11, 2021

PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment