Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work
Zewde ikwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo
Jumatatu Januari 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka
katika ndege mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini
Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe.
Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya
siku moja. Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa
Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea kwa furaha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia
Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya
siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia wakati mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe.
Sahle-Work Zewde akipiga ngoma za kikundi cha utamaduni mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu
Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya
siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimzawadia picha ya kuchora ya mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu
ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimzawadia kinyago cha Kikmakonde cha “UJAMAA” mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi yan siku moja.
No comments :
Post a Comment