Tuesday, January 26, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AKIWA NA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO LA KATOLIKI LA BUKOBA MHASHAMU DKT. METHODIUS KILAINI ALIPOZURU MKOANIN KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Askofu Msaidizi  wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Dkt  Methodius Kilaini baada ya kufungua majengo ya Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ihungo alipokuwa ziarani mkoani Kagera wiki iliyopita. Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatitia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016

PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment