Tuesday, January 26, 2021

RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI TZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania JWTZ CDF Jenerali  Venance
Salvatory Mabeyo (kushoto) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kujitambulisha  baada ya  kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana
uliopita.[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
JWTZ CDF Jenerali  Venance  Salvatory Mabeyo (kushoto) wakati
alipokuwa akizungumza nae leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kujitambulisha  tokea kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana
uliopita.[Picha na Ikulu] 26/01/2021.

 

No comments :

Post a Comment