Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi alipokuwa akiangalia bidhaa
mbali mbali zilizotengenezwa kutokana na Mwani na kikundi cha “UKWELI NI
NJIA SAFI” chenye maskani yake Bweleo wakati alipoungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) walipotembelea
maonesho ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Maisara Suleiman
Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 13/01/2012.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Nd.Hassan Juma
Reli alipowasili katika viwanja vya maonesho ya Biashara Maisara Jijini
Zanzibar leo (katikati ) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Nd,Rashid Simai
Msaraka.[Picha na Ikulu] 13/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakati
alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara leo,yanayoendelea katika
viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu Wizara
ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Nd,Hassan Juma Reli.[Picha na Ikulu]
13/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Mwinyi (kushoto) na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakizungumza na
Nd.Maryam Issa Khamis (kulia) Mkaazi wa Fuoni Mambosasa walipokuwa
wakiangalia vifaa vya asili kwa matumizi ya Nyumbani katika Banda la
kikundi cha ‘KAMBA NDEFU GROUP” walipotembelea
maonesho ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Maisara Suleiman
Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 13/01/2012.
No comments :
Post a Comment