Sunday, January 24, 2021

MAKAMU WA RAIS AZINDUA WIKI YA SHERIA NA MIAKA 100 YA MAHAKAMA NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza matembezi ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili kulia Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi, Majaji,  Watendaji wa Mahakama na Wananchi kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizidua Miongozo mbalimbali ya uendeshaji wa Mahakama kwenye Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili kulia Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer M. Feleshi na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba kulia.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Jaji Kiongozi Dkt.  Eliezer M. Feleshi alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye  Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba kulia, kushoto Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba kuli na Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma baada ya kuzindua Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment