Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara Mhe. Exaud Kigahe(Mb) akitembelea banda ya maonesho ya bidhaa
za Mufindi Paper wazalishaji wa karatasi na vifungashio kwenye uzinduzi
wa mwongozo wa uwekezaji wa mkoa wa Iringa uliofanyika katika Chuo kikuu
cha Mkwawa mkoani Iringa, Leo Januari 23, 2020
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe(Mb) akitembelea banda ya maonesho ya bidhaa za Assas Dairies Ltd wasindikaji wa Maziwa kwenye uzinduzi wa mwongozo wa uwekezaji wa mkoa wa Iringa uliofanyika katika Chuo kikuu cha Mkwawa mkoani Iringa, Leo Januari 23, 2020 (Picha na Eliud Rwechungura)
No comments :
Post a Comment