Mgonjwa akifanyiwa uchunguzi wa mishipa ya damu kwenye ubongo bila ya kufungua fuvu katika maabara ya kisasa ya
upasuaji wa Ubongo (Angio Suite ) iliyopo MOI. Huyu ni mgonjwa wa kwanza toka ujenzi wa maabara hiyo yenye thamani ya Tsh Bilion 7.9 ikamilike.
No comments :
Post a Comment