Monday, January 11, 2021

HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO MKOANI GEITA

Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.

 

No comments :

Post a Comment