Monday, December 7, 2020

WAZIRI MTEULE WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDANI

Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe akiuliza swali wakati apolikuwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi uwekeza wa TANESCO Makao makuu Edetrude Zenda wakati alipotembelea banda la shirika hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo.

Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe akipata maelezo kutoka kwa  Eshter Msaki Afisa Huduma kwa wateja Shirika la Umeme TANESCO wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika maonesho ya Kumi na Nne ya  Bidhaa za viwandani yanayofanyika kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam katikati ni Mhandisi uwekeza wa TANESCO Makao makuu Edetrude Zenda.

Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye viwanja vya sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.

Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe akifurahia jambo wakati alipokuwa akipata maelezokutoka kwa Eshter Msaki Afisa Huduma kwa wateja Shirika la Umeme TANESCO wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika maonesho ya Kumi na Nne ya  Bidhaa za viwandani yanayofanyika kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la TANESCO  wakiwa katika banda hilo leo mara baada ya waziri Mteule Geoffrey Mwambe kutembelea banda hilo

 

No comments :

Post a Comment