![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZyRMHpVGOFSYSgDwpcH85vrZc5Cu4YU4VgkWkYzYwx8SWGyVOXAZT8IkHRqJvorwnUQ1EC5jysu-ipOc3aV_KQIoBjnNFQnlaKf9z2NmF2i09k-8PWuF3AGqVjicTVL1oBrbuYhfHx-E/w640-h426/WhatsApp+Image+2020-12-05+at+3.12.14+AM.jpeg)
Waziri
Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akipata maelezo kwa Naibu Katibu wa Wizara ya
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliana-Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonazi
wakati alipotembelea Banda la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
katika Maonesho ya 5 ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika katika viwanja
vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akisoma kitabu Cha muongozo wa Huduma kwa
wateja cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati alipotembelea
Maonesho ya 5 ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika katika viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere jijini es Salaam.
Waziri
Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akifurahi Jambo na wafanyakazi wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) mara baada ya kupata maelezo katika Banda la
TCRA kwenye maonesho ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Annastella Mchomvu
akimhudumia mwananchi wakati alipotembelea banda la TCRA katika Maonesho
ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiwa katika picha ya Pamoja
mara baada ya kuwahudumia wananchi katika Maonyesho ya Tano (5) ya
bidhaa za Viwanda vya Ndani Tanzania, kuanzia Tarehe 3 - 9 Disemba
2020 katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment