Afisa
Mwandamizi Huduma kwa wateja benki ya Exim Bi Farida Chambo (kulia)
akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya
'Chanja Kijanja na Exim MasterCard' ya benki hiyo Bw Krushant Buhecha
wa jijini Dar es Salaam. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni
hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule
kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda
Serengeti na Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa
kimelipiwa.
Meneja
Mwandamizi wa benki ya Exim Zanzibar Bw Mwinyimkuu Ngalima (kulia)
akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya
'Chanja Kijanja na Exim MasterCard' ya benki hiyo Bi Amani Makungu wa
Zanzibar. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni hiyo watajipatia
zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule kwa mtoto pamoja
na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda Serengeti na
Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa kimelipiwa.
No comments :
Post a Comment