TECNO inaendelea kuwapa furaha wateja wake hii ni baada ya kukabidhi zawadi kwa Bwana Ramadhani Salim aliyejishindia mashine yakufulia, Jacquline Kaseja vocha ya manunuzi yenye thamani ya sh.500,000 na mshindi wa TECNO Spark 5pro Zee la Vyeti aliyepatikana kupitia challenge ya iliyofanyika twitter.
Zawadi bado zipo nyingi na TECNO inawakumbusha wateja wake kutembelea
maduka yote ya simu ili kuendelea kufurahiya zawadi mbalimbali kutoka
TECNO kama vile rice cooker, blender, cattle na gift package pindi
ununua apo simu yoyote ya TECNO lakini pia endapo ukinunua camon 16 na
Spark 5 pro moja kwa moja utaingizwa katika droo kubwa na washindi
kuondoka na Smart TV ya nchi 55, droo hii kubwa itachezeshwa live trh
15/1/2021 kupitia @tecnomobiletanzania.
Spark 5 pro ni simu yenye kioo kipana cha nch 6.6, Spark 5pro inakupa
nafasi ya kuchukua picha kwa ukubwa zaidi kutoka na kuwa na wigo mpana
wa kioo vilevile ina MP16 nyuma na selfie MP 8, memory kubwa GB 64+GB 3
RAM na battery lenye kudumu na chaji kwa muda mrefu mAh5000.
No comments :
Post a Comment