Saturday, December 5, 2020

Tanzania: Foreign Exchange Earnings From Tourism Drop to a 10-Year Low

 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akisoma majina ya Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Desemba, 2020 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.

1.Maji -Juma Aweso

2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa

3.Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu- Jenister Mhagama

4.Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto- Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)

5.Wizara anayesimamia Uwekezaji Ofisi ya Rais -Prof. Kitila Mkumbo.

6.Wizara ya Katiba na Sheria-Dkt. Mwigulu Nchemba

7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia- Prof Joyce Ndalichako

8.Mifugo na Uvuvi – Mashimba Mashauri Ndaki

9.Maliasili na Utalii -Dkt. Ndumbalo Damas

10.Ofisi ya Rais TAMISEMI- Suleiman Jaffo

11.Madini- Dotto Biteko

12.Nishati -Dkt.Medard Kalemani

13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt.Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)

14.Kilimo -Prof.Adolph Mkenda.

15.Viwanda na Biashara Mwambie -Geofrey Idelphonce Mwambe

16.Mambo ya Ndani- George Simbachawene

17.Muungano na MAZINGIRA- Ummy Mwalimu

18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari-Dkt Faustine Ndugulile

19.Fedha Dkt-Philip Mpango

20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof-Paramagamba Kabudi

21 Ardhi-William Lukuvi

22.Ulinzi na JKT- Elias John Kuandikwa

23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora-Kapteni Mstaafu George Mkuchika

No comments :

Post a Comment