Tuesday, December 15, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2020. PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment