Tuesday, December 15, 2020

RAIS DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZIPA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi )katikati) akimsikiliuza  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar ZIPA Nd.Salum Khamis Nassor wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu Mamlaka hiyo leo wakati alipofanya mazunguzo na Ungozi katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar {Picha na Ikulu} 15/12 2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipozumgumza na Uongozi wa  Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar ZIPA leo,katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar {Picha na Ikulu} 15/12 2020.

 

No comments :

Post a Comment