Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akisalimiana na Balozi wa UAE Nchini Tanzania Mhe.Khalifa
Abdulrahman Almarzouqi wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa
ajili ya mazungumzo ambapo suala la uwekezaji limepewa kipaumbele katika
mazungumzo hayo.[Picha na Ikulu] 30/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania
Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzouqi wakati alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar,ambapo suala la uwekezaji limepewa kipaumbele katika mazungumzo hayo .[Picha na Ikulu] 30/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania
Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzouqi (wa pili kulia) wakati alipofika
Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake leo,ambapo Rais alizungumzia
zaidi katika sekta ya uwekezaji ukiwemo utalii.[Picha na Ikulu]
30/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzouqi wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo suala la uwekezaji limepewa kipaumbele katika mazungumzo hayo .[Picha na Ikulu] 30/12/2020.
No comments :
Post a Comment