Thursday, December 3, 2020

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA UONGOZI WA NBC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/12/2020.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/12/2020.    

No comments :

Post a Comment