Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi
Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi baada
ya kuwasili Wizarani Mtumba kutokea Ikulu ya Chamwino alipoapishwa
kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano
tarehe 16/11/2020
Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi
akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa
Wizarani baada ya kuapishwa.
Matukio katika picha yakionesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi alipopokelewa na menejimenti na watumishi wa Wizara alipowasili Wizarani baada ya kuapishwa
No comments :
Post a Comment