Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb) akipokea barua ya pongezi kutoka kwa Balozi
wa China hapa Nchini Mhe. Wang Ke iliyoandikwa na Waziri wa Mambo ya
Nje wa China Mhe Wang Yi.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa
Nchini Mhe Anders Sjoberg.Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo
za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es
Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden hapa
Nchini Mhe Anders Sjoberg.Mazungumzo hayo yamefanyika katika
Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa China hapa Nchini Mhe Wang Ke.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Finland hapa
Nchini Mhe Riitta Swan.Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi
ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar
es Salaam.
No comments :
Post a Comment