Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akisisitiza jambo katika
Kikao cha Taarifa za Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao
hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Meza Kuu) akizungumza na
Wakuu wa idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika
Kikao cha Taarifa za Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao
hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma.
Wakuu wa Idara na Vitengo wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara hii, Ramadhani Kailima (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza
katika Kikao cha Taarifa ya Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51.
Kikao hicho kimefayika leo, katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini
Dodoma.
Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hii, Ramadhani Kailima (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Taarifa ya Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao hicho kimefayika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Wakuu
wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hii, Ramadhani Kailima (hayupo pichani)
alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Taarifa ya Utekelezaji kwa
Menejimenti ya Fungu 51. Kikao hicho kimefayika leo, katika Ofisi za
Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment