Pages
Thursday, November 5, 2020
MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU AKIAPISHWA LEO JIJINI DODOMA
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya
Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania muda mfupi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuapishwa katika sherehe
zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 05
2020.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment