Thursday, October 15, 2020

WASAIDIZI WA SHERIA WA MAJAJI RUFANI WAFUNDWA MASHAURI YA UCHAGUZI

Jaji Mkuu (Mstaafu), Mhe. Mohamed Chande Othman akifungua rasmi Mafunzo kwa Wasaidizi wa sheria wa Majaji juu ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi yaliyofanyika katika Chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto.
Mkuu wa Chuo Cha Uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto, Mhe. Jaji Dkt. Paul Kihwelo  akiwakaribisha washiriki hao katika hayo.
Meza kuu ikiongozwa na Jaji Mkuu (Mstaafu) Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji wa Mahakama Kuu Mstaafu Mhe. Robert Makaramba (Kulia) na Jaji wa Mhakama Kuu na Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto Mhe. Dkt. Paul F. Kihwelo (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu - Mahakama ya Tanzania Bw Edward J. Nkembo (kulia), Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Bw. Joseph K. Mwaiswelo (katikati) na Hakimu Mahakama ya Wilaya Lushoto Mhe.  Japhet B. Manyama (kushoto).

Jaji Mkuu (Mstaafu) Mhe. Mohamed Chande Othman katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi.

 

No comments :

Post a Comment