Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Vallery Chamulungu akizungumza na wanahabari pamoja na waongoza ndege katika maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.
Katika
Maadhimisho hayo Chama cha Waongoza ndege Tanzania (TATCA) kimefanya
mafunzo mafupi ya kuwajengea uwezo wanahabari ikiwa ni pamoja na kutoa
msaada wa vyereheni 4 pamoja na mashine ya kufuma katika Gereza Kuu la
Ukonga jijini Dar es Salaam. Siku ya muongozaji ndege duniani
huadhimishwa oktoba 20 kila mwaka. Picha zote na Cathbert Kajuna -
Kajunason/MMG.
Mkurugenzi
wa Idara ya Udhibiti Usafiri wa Anga TCAA Redemptus Bugomola
akizungumza katika maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani
iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Kitengo cha Kuongoza ndege (TCAA) Justin Ncheye akizungumza katika
maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu
jijini Dar es Salaam.
Wanahabari
kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia maadhimisho ya siku ya muongozaji
ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.Waongozaji wa ndege wakifuatilia maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Chama cha Waongozaji ndege Tanzania (TATCA) Shukuru Nziku (kulia)
akitoa msaada kwa Mkuu wa Gereza Kuu la Ukonga Salumu Manjawa (Kushoto)
vyereheni 4 pamoja na mashine ya kufuma ili viweze kuwasaidia wafungwa
kushona nguo zao. Wengine ni maaskari wa magereza na waongoza ndege.
Waongoza ndege na Askari wa Magereza wakiwa katika picha ya pamoja.
Waongoza ndege na Askari wa Magereza wakiwa katika picha ya pamoja.
Waongoza ndege wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments :
Post a Comment