Monday, October 5, 2020

RAIS MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI 3 WALIOTEULIWA KUZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI


 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amepokea Hati za utambulisho wa Mabalozi wa Uingereza ,Uswizi na Pakistan, Pichani mhe.Rais John Pombe Magufuli na Balozi David William Conca Balozi wa Uingereza nchini wakiwa katika picha mbalimbali wakati wa kuwasilisha hati hizo Ikulu Dar es salaam leo.

 

 

No comments :

Post a Comment