RAIS MAGUFULI AMTEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA MAALUMU YA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiteta Jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete. Wakati alipotembelea Ujenzi wa Nyumba ya Mhe.Kikwete
inayojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo
ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa
Marais Mara wanapo Staafu.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais
mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba
hiyo inajengwa na serekali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999
inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya
waheshimiwa Marais Mara wanapo Staafu.
No comments :
Post a Comment