Wednesday, October 21, 2020

RAIS DKT.SHEIN AZINDUA JENGO JIPYA LA OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI LILILOPO CHAKECHAKE PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)  akiwapungia mkono Wananchi na Waalikwa mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba kwa ajili ya kulifungua rasmin leo(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hamed Suleiman.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)  akifungua pazia kama ishara ya  kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(kushoto kwa Rais ) Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)hafla ya sherehe ilifanyika leo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)  akikata utepe kama ishara ya  kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika leo .

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba wakiwa patika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika hafl;a ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake mara bağdaya ufunguzi uliofanyika leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)  akipata Maelezo kutoka kwa Mhandisi msaidizi wa Ujenzi Said Malik Said (kulia) mara baada ya ufunguzia wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)hafla ya sherehe ilifanyika leo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)  akitoa Hutuba yake katika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika leo mbele ya Jengo hilo.[Picha na Ikulu

 

No comments :

Post a Comment