Sunday, October 18, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MAMA ANNA MKAPA, AMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI NYUMBA ALIYOJENGEWA NA SERIKALI NA KUKAGUA UJUENZI WA NYUMBA ANAYOJENGEWA RAIS MSTAAFU DKT.KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakitembezwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika nyumba ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakikata utepe wakiwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar
es salaam leo Jumapili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akishukuru baada ya  kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi mfano wa funguo Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba hiyo ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Abubakar Kunenge na Vijana wajenzi wa JKT wakati wa hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba Mzee Mwinyi ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache akiwa  na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa  Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikikliza Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru kwa kutembelea na  kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment