Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili kufungua rasmi wa kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha
Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa jukwaa kuu na viongozi wengine
wakati wa Ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi
cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited eneo
la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee pamoja
na viongozi wa dini wakati akielekea kufungua rasmi kiwanda cha kisasa
cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries
Company Limited eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee pamoja na
viongozi wa dini wakati wakipata maelezo. ya
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na viongozi wengine akikata utepe kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akikagua
bidhaa za. viatu baada ya kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya viatu alivyokabidhiwa na Kamishna
Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee (kushoto) baada ya kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment