Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa tatu kushoto)
akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Benki ya TPB tawi la Shinyanga imeanza kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja leo Jumatatu Oktoba 5,2020.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso amesema katika
maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa wateja iliyoanza leo na itadumu kwa
muda wa wiki moja, Benki hiyo itaendelea kutoa huduma kwa wateja wake na
kupokea maoni ya wateja kuhusu huduma za benki na itatoa zawadi
mbalimbali kwa wateja watakaotembelea Benki ya TPB.
Hizi hapa chini ni baadhi ya picha leo Jumatatu Oktoba 5,2020 wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Karibu Benki ya TPB Bank!
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso akiwa ndani ya Benki ya
TPB Shinyanga leo Jumatatu Oktoba 5,2020 rasmi kuanza maadhimisho ya
wiki ya huduma kwa wateja. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kushoto)
akipiga picha na wateja wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kulia) akipiga
picha na wateja wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Mteja wa Benki ya TPB akipata huduma za kibenki kutoka kwa wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Wateja wa Benki ya TPB wakipata huduma za kibenki kutoka kwa wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Mteja wa Benki ya TPB akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Wateja wa Benki ya TPB wakipata huduma katika Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Mfanyakazi wa Benki ya TPB Yahaya Kaniki (kushoto) akimhudumia mteja wa Benki ya TPB
Wateja wa Benki ya TPB wakiendelea kupata huduma katika Benki ya TPB Tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kushoto)
akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kushoto)
akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kushoto)
akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa tatu kushoto)
akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa tatu kushoto)
akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja
wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa kwanza kulia)
akipiga picha na wafanyakazi wa wa kiume Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Wafanyakazi wa kike wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakipiga picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa kike wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakipiga picha ya pamoja.
No comments :
Post a Comment