Meneja wa Mfuko wa
Bima ya Afya(NHIF) mkoa wa Arusha,Issaya Shekifu akizungumza na makundi
mbalimbali ya Ushirika ambao ni wanufaika wa bima ya makundi katika
kikao kilichofanyika jijini Arusha.
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) mkoa wa
Arusha,Issaya Shekifu akizungumza na makundi mbalimbali ya Ushirika
ambao ni wanufaika wa bima ya makundi katika kikao kilichofanyika jijini
Arusha ,kulia ni Mrajisi wa Ushirika mkoa wa Arusha,Emmanuel Sanka.
Wananchi ambao wapo
kwenye Ushirika ambao ni wanufaika wa mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakiwa
kwenye kikao kilichofanyika jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Umoja wa
wapigapicha Arusha(Uwapia),Maglani Taiko akizungumza katika kikao
kilichofanyika jijini Arusha kuhusu makundi yaliyosajiliwa kwenye
Ushirika kunufaika na Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF).
No comments :
Post a Comment