Meneja
wa Kinywaji cha Konyagi Tanzania Pamela Kikuli katikati akionesha
muonekano mpya wa nembo mpya ya kinywaji hicho wakati akizungumza na
waandishi wa habari katika tafrija ya uzinduzi huo mwishoni mwa
wiki jijini Dar Es Salaam.
Meneja
wa Kinywaji cha Konyagi Tanzania (kulia) Pamela Kikuli akisisitiza
jambo wakati akionesha muonekano mpya wa nembo mpya ya kinywaji cha
Konyagi wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
katika tafrija ya uzinduzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar.
Meneja
wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli (wa tatu kulia)
akiangalia namna ya uchanganyaji wa konyagi unavyofanyika kutoka kwa
mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi kwenye Tafrija hiyo
iliyofanyika mwisho mwa wiki jijini Dar Es Salaam.
Meneja
wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli akishuhudia mmoja wa
waataalam wa kuchanganya konyagi akionesha umahiri wake namna kinywaji
hicho kinavyopaswa kuchanganywa na hatimaye kupatikana ladha murua,
kenye Tafrija iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam.
Meneja
wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli (wa pili kulia) akionja
ladha ya kinywaji cha Konyagi kilichochanganywa kwa utaalamu wa hali ya
juu kutoka kwa mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi katika Tafrija
iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam.
No comments :
Post a Comment