Thursday, October 15, 2020

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT.BASHIRU

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiongozana na Balozi wa Marekani Tanzania Dkt. Donald J. Wright ambaye amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es Sa.

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amempokea Balozi wa Marekani Tanzania Dkt. Donald J. Wright ambaye amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam kwa mazungumza katika masuala mbalimbali. Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa wakiagana na Balozi wa Marekani Tanzania Dkt. Donald J. Wright ambaye amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam kwa mazungumza katika masuala mbalimbali.

 

No comments :

Post a Comment