Hafla
ya kuwasilisha hati za utambulisho imefanyika Ikulu jijini Nairobi
ambapo pamoja na mambo mengine, Rais Kenyatta amepokea hati za
utambulisho za Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Balozi
Simbachawene.
Balozi
Simbachawene amemhakikishia Rais Kenyatta kuwa ataendelea kuboresha
mahusiano ya nchi hizo mbili za Tanzania na Kenya, kukuza biashara baina
ya nchi hizo kwa kuboresha diplomasia ya uchumi kwa ujumla wake.
No comments :
Post a Comment