Meneja
ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald
akizungumzia namna mradi wa Vodacom Instant Schools unavyounganisha
intaneti na kusaidia wanafunzi katika maeneo ya pembezoni kujisomea
wakiwa nje ya shule lakini pia jinsi ambavyo program hii inaunganisha
shule zilizoko vijijini (School Connectivity).
Wengine pichani ni Mhandisi kutoka UCSAF Ritha Kimolo (kushoto) na Msaidizi wa Mradi kutoka ISOC Peter Mmbando.
Pages
Sunday, August 16, 2020
Vodacom Tanzania Foundation yaunganisha wanafunzi maeneo ya pembezoni kupitia program ya Instant School
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment