Na Karama Kenyunko-Michuzi TV
RAIA
wawili wa kigeni, wafanyakazi wawili wa benki ya Equity na Msajili
Msaidizi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamefikishwa
katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu
uchumi yenye mashtaka 13 likiwemo la kughushi na kutakatisha USD
300,000.
Katikati hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa serikali Mwandamizi Wankyo Simon imewataja washtakiwa hao kuwa ni, Mohammed Nur (48) raia wa Afrika Kusini, Umulkher Mohammed (34) raia wa Somalia, wote wafanyabiashara na Noel Shani (44)

No comments :
Post a Comment