Thursday, August 13, 2020

MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA SHULE YA MSINGI YA MWALUSEMBE WILAYANI MKURANGA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya  Mwalusembe wilayani Mkuranga wakati alipofanya   ziara ya kushitukiza Shuleni hapo, Agosti 13, 2020.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment