Sunday, August 16, 2020

Kampuni ya Vodacom Tanzania na Smartlab Watangaza Fainali ya mchakato wa ‘Vodacom Digital Accelerator’.

Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam jana kuhusu mchakato wa shindano la kuibua vijana wa kitanzania wenye wazo la ubunifu wa teknolojia (Vodacom Digital Accelerator) ambapo siku ya jumanne watatangaza washindi watatu walioshinda shindano hilo, zaidi ya kampuni chipukizi 500 waliwasilisha mawazo bunifu kutoka kote nchini. Wengine kulia ni Mwendesha Mradi Mwandamizi wa SmartCode, Isaack Shayo na Meneja Mradi huo Sharron Nsule.

No comments :

Post a Comment