Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU
wilaya ya Chamwino akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B
Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU
wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano
Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wakati wa
uzinduzi hafla ya Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la
Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo wakati akikagua Jengo
la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino
mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya
Uchaguzi akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma
leo Jumatano Julai 22, 2020

Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020
No comments :
Post a Comment