Thursday, July 9, 2020

MATUKIO KATIKA PICHA:KAMPUNI YA TWIGA CEMENT YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA



Afisa Masoko msaidizi wa Kampuni ya Twiga Cement Bw.Issack Masawe akiongea na wateja ambao wametembelea banda la kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara Sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Kampuni ya Twiga Cement Bi.Lucy Laurent akimuhudumia mteja ambaye alifika katika banda  la kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara Sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Mteja akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea ametembelea banda la kampuni ya Twiga Cement kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara Sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Kampui ya Twiga Cement Bw.Yusuph Kajela akimuhudumi mteja baada ya kutembelea banda la kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara Sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mteja akimsikiliza muhudumu wa Kampuni ya Twiga Cement baada ya kutembelea banda la kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara Sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment