Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege Jijini Mwanza leo Julai 31,2020 kwa
ajili ya kuhudhuria Sherehe za Sikukuuu ya Wakulima nanenane
inayotarajiwa kuzinduliwa kesho Agosti 01, 2020 Kitaifa Mkoani Simiyu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment