Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Joseph
Sokoine akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Wakaguzi wa
Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo jijini
Dodoma ambao watakuwa na jukumu la Kusimamia kikamilifu uzingatiaji na
utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma. Mafunzo
hayo yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa
Mazingira (NEMC) yanatarajiwa kufungwa Ijumaa na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamuwa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu.
Mkurugenzi wa
Tathmini ya Mazingira wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa
Mazingira (NEMC), Dkt. Menan Jangu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi
Mkuu wa NEMC, Dkt. Samuel Gwamaka wakati wa ufunguzi wa wa mafunzo
kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa
zilizopo jijini Dodoma ambao watakuwa na jukumu la Kusimamia kikamilifu
uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini
Dodoma.
Katibu Tawala wa
Mkoa wa Dodoma, Maduka Kessy akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo
kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa
zilizopo jijini Dodoma ambao watakuwa na jukumu la Kusimamia kikamilifu
uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini
Dodoma.
Washiriki
wa mafunzo kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali
za Mitaa zilizopo jijini Dodoma wakiwa katika mafunzo ya kuwajengea
uwezo katika kusimamia kikamilifu uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria
ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments :
Post a Comment