Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na
Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa
Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania
wakati huu wa janga la CORONA.
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na
Utalii Prof. Adolf Mkenda wakiangalia kurasa na maudhui ya Mwongozo wa
Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa
janga la CORONA baada ya kuuzindua rasmi leo jijini Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Watendaji wa Wizara ya Maliasili
na Utalii na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na
Utalii leo jijini Arusha mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa
Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa
janga la CORONA.
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla (Katikati), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Mhe. Constantine Kanyasu (wan ne kutoka kulia), Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Prof. Adolf Mkenda (wa Pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Dkt.
Aloyce Nzuki, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),
Devotha Mdachi na Viongozi wa Vyama vya Mawakala wa Utoaji wa huduma za
Utalii nchini Tanzania wakionesha Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa
shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA mara
baada ya kuzinduliwa rasmi leo jijini Arusha.
Wadau wa Sekta ya
Utalii wakifuatilia tukio la Uzinduzi wa Mwongozo wa Taifa wa
Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la
CORONA.
PICHA/Aron Msigwa – WMU
No comments :
Post a Comment