Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo
Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbali mbali kwa ajili yakujikinga dhidi
ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara
Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo
nchi nzima.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment