Friday, May 8, 2020

RC MTWARA AMUAPISHA DC MPYA DUNSTAN KYOBYA



……………………………………………………………..
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa amemuapisha mkuu mpya wa wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya, ambae uteuzi wake umefanywa Mei 6 mwaka huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
Moja ya maelekezo ya mkuu wa mkoa Byakanwa kwa mkuu mpya wa wilaya ya Mtwara ni Pamoja na kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona Covid 19.

No comments :

Post a Comment