Friday, May 29, 2020

Rais Mheshimiwa Dkt. Magufuli akiangalia maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akichota mchanga kuweka kwenye Toroli wakati alipoenda kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment